Character X
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 331
- 382
Wandugu Habari,
Nimeitiwa eneo lenyeukubwa wa heka mbili karibu na Dar zoo naomba kuuliza kuhusu uhalali wa maeneo yale. Ni nyuma ya Dar zoo wanauza milioni mbili kwa heka.
Mwenye ufahamu Tafadhali
Shukran
Ila pia Kama yupo mwenye eneo kule lenye uhalali usiotiashaka ataje bei Kama itakua nzuri naweza kulitembelea kuliona,kama yote yataenda sawa tukafanya biashara
600 sqm ipo?Vilivyo pimwa ni
Square meters 400
Square meters 500
Square meters 600
Bei kwa square meters 1= 10000.
Vya miguu vipo 2.
Nusu heka
20 kwa 20 na kisambusa.
600 sqm ipo?