Viwanja bomba mbili Dar

Viwanja bomba mbili Dar

jiliml

Senior Member
Joined
Jun 12, 2013
Posts
160
Reaction score
24
vipo viwili vinaukubwa wa hatua 20 kwa 20,eneo zuri halina mambonde wala miinuko,vina hati zake ambaye anahitaji tunaweza wasiliana pm,bei ni milioni 4 kwa kila kimoja
 
Bomba mbili ndio wapi? Hatua ndio kipimo gani? Weka kwa meter.
 
vipo viwili vinaukubwa wa hatua 20 kwa 20,eneo zuri halina mambonde wala miinuko,vina hati zake ambaye anahitaji tunaweza wasiliana pm,bei ni milioni 4 kwa kila kimoja

ndiyo wap?
 
Unafika ukonga mombasa then moshi bar then mbele huko karibu na mbagala nafhani
 
Sina hamu na ujenzi miye.........labda kununua

IMG_1398.JPG
 
viwanja bado vipo unapitia nyerere road mpaka mombasa/banana ndo unaenda bomba mbili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom