Viwanja vyenye ukubwa wa ft50 kwa 40 ft vipo tele Ilala na Temeke Dar bei ni 2,500,000 tu.Vipo kisewe na Msongola Dar.Wahi wakati huu bei ni afadhali!.Wasiliana nami kupitia namba 0717288306....Nunua plot....anza ujenzi sasa.MCHANGA NA MAJI YAPO KARIBU.Pia mashamba kuanzia heka 1 yapo kwa bei poa.
...eneo limelengwa kwa high density,kwa watu wa kawaida ili wapate plot kwa bei poa na wamiliki nyumba,futi 50 kwa 40 unatoa nyumba safi ya vyumba 6 na eneo linabaki kubwa tu la sewage,parking na open....KWA VIWANJA PIGA 07170288306dude futi 50 ni sawa na mita kama 15 na futi arobaini ni sawa na mita kama 12
unajenga nyumba au viota?? Kiwanja cha 15x12
kiwanja cha square metter 180 unajenga nini?? Frame??
Nenda mwaya ukirudi na mie nambie..........Ukitaka kufika huko unapanda magari ya wapi? Maana ndio kwanza napasikia . maana huu mji nao mpana kwel
..magari ya mbagala,au chanika,ni karibu tu..hofu tu
...eneo limelengwa kwa high density,kwa watu wa kawaida ili wapate plot kwa bei poa na wamiliki nyumba,futi 50 kwa 40 unatoa nyumba safi ya vyumba 6 na eneo linabaki kubwa tu la sewage,parking na open....KWA VIWANJA PIGA 07170288306
...eneo limelengwa kwa high density,kwa watu wa kawaida ili wapate plot kwa bei poa na wamiliki nyumba,futi 50 kwa 40 unatoa nyumba safi ya vyumba 6 na eneo linabaki kubwa tu la sewage,parking na open....KWA VIWANJA PIGA 07170288306
Viwanja vyenye ukubwa wa ft50 kwa 40 ft vipo tele Ilala na Temeke Dar bei ni 2,500,000 tu.Vipo kisewe na Msongola Dar.Wahi wakati huu bei ni afadhali!.Wasiliana nami kupitia namba 0717288306....Nunua plot....anza ujenzi sasa.MCHANGA NA MAJI YAPO KARIBU.Pia mashamba kuanzia heka 1 yapo kwa bei poa.
Acha uongo,huo uhandisi umesoma wewe?!!
12X15 nyumba ya vyumba sita na nafasi inabaki!!
Labda ghorofa otherwise Utakuwa unaota Au unaongealea miujiza.
Mh hio ni bustan sio kiwanja