viwanja A town..

Hahahahaaaa pale napo jina na uhalisia haviendani kabisa....sikushauri kwenda aisee....
 

Njoo Empire Sports Bar.....waungwana hukutana pale kila w/end......

 
Hahahaha Lily Pub Albeto kwa mbele kidogo kuna korongo si salama sana wanaweza kumfanya kitu mbaya....Bora aende Sakina Bar kabisa coz si mbali na Alberto

Nafikiri tumepishana kidogo naongelea Pub Albero ya haile selassie road, pako poa sana hakuna dimbwi wala mto.

 
sehemu zenye nyama choma ya kufa mtu ni

cet garden ( kwa sifaa )

kwa tolu ( karibu na car wash ya sunda kama unaelekea sakina )

kwa mrombo

We mweneji kweli hapo kwa tolu ni pa ukwe kwa choma
 
Nani ameshafika big y pale sekei karibuni ?
 
pako njema....hasa pale kwenye kale kachobisi....kule ghorofani....ka vip....pametulia kweli....


kweli we mkali . kumbe ushafika pale ? kule juu ndio magoli kwenye kona. nimekuaminia mamaaaaangu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…