Viwanja 2 vinauzwa vipo Kigamboni Dar es salaam

Viwanja 2 vinauzwa vipo Kigamboni Dar es salaam

ni kweli lakini sasa wanashangaza unampeleka anaona eneo anasema siku fulani natoa pesa kisha humuoni. lakini bado naendelea kuuza kwa walio tayari na wanauhitaji wa sehemu nzuri ya makazi
Wanaweza nao wakawa madalali nao, mimi na viwanja viko amani go mtu hapo karibu na ule mkasi unataka Anza wa kujenga nyumba 400 (AVC) vimepimwa na naviuza, nlipataga usumbufu kama huo wako
 
Dalali no mtu anaekurahisishia biadhara but now ndo wasumbufu na kufanya biashara ziwe za kihuni.no bora mwenye hivi viwanja ndo awe anawasiliana na wanunuzi.nilkuwa disappointed baada ya kuvifuatilia nikiwa nimejiandaa vya kutosha niliwekwa masaa matatu huku simu ikikatwa na kupewa majibu ya sound
 
Wanaweza nao wakawa madalali nao, mimi na viwanja viko amani go mtu hapo karibu na ule mkasi unataka Anza wa kujenga nyumba 400 (AVC) vimepimwa na naviuza, nlipataga usumbufu kama huo wako
uko sahihi mkuu, unajua bora mtu asemi mi dalali ujue namna ya kwenda naye kuliko anajifanya mnunuzi mnunuzi mwisho unaona jamaa hapokei cm du! inafurahisha . ntakutafuta mkuu tuone jinsi ya kufanya kazi pamoja katika hivyo vya amani gomvu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom