Viwanja 2.3ml chanika

mslopagaz

JF-Expert Member
Jul 31, 2014
367
36
Viwanja Kwa ajil ya ujenz wa makaz na shughul nyngne za kimaendeleo vinapatkana Kwa ukubwa wa 20/20 huduma muhim zinapatkana kwa ukaribu
0656 698232
 
Utanihakikishia vp kuwa ni maeneo ya makazi, hakuna njia ya mtaa, na pia sio maeneo ya mchanga,maji kuwa karibu
Mkuu uzur wa biashara n kuona then unafanya tathmin ila kwa msaada pia nina Raman ya chanika iliyoandaliwa na manispaa ya ilala so ntakuonysha maeneo ambayo n kwa ajil ya makaz na yasiyo ya makaz
 
Mkuu uzur wa biashara n kuona then unafanya tathmin ila kwa msaada pia nina Raman ya chanika iliyoandaliwa na manispaa ya ilala so ntakuonysha maeneo ambayo n kwa ajil ya makaz na yasiyo ya makaz

Nimekupata ndugu, installment inakuwaje sasa, vp majaruba,maana chanika ina maji sana chini, vp hyo ardhi ipoje
 
Nimekupata ndugu, installment inakuwaje sasa, vp majaruba,maana chanika ina maji sana chini, vp hyo ardhi ipoje
Eneo kiuhalisia liko poa halina matatzo ya maj na kumejenga lkn maneno yangu hayawez kukutoshelza mpka ufike na upaone Mkuu
 
Back
Top Bottom