christopherseba
Member
- Jun 16, 2019
- 37
- 29
HR ni abbreviation ya nnVp kuhusu HR
Human ResourceHR ni abbreviation ya nn
Sharolizo ndo anaelewa haya maswalaHuman Resource
Hajatendewa haki kivipi?Engineer mbn hajatendewa haki kbx inakuwaje engineer awe na maisha ya juu kumzid dakitari while salary scale ya Dr iko juu
Anasoma v2 vigumu ana integrate solve vya kutoxha inshort ni hustle mpk kuwa eng hafu salary ndogoHajatendewa haki kivipi?
Daah! Kumbe mi nakunja parefu kwa mwezi,nmewapita wengi.Mwalimu 716,000
Mwanasheria 950,000
Muuguzi 980,000
Mfamasia 980,000
Daktari 1,480,000
Mhandisi 950,000
Mhasibu 950,000 ukiwa na CPA,,ila ukiwa na degree ni 710,000
Unakunja ngapi?Daah! Kumbe mi nakunja parefu kwa mwezi,nmewapita wengi.
MD nn [emoji3][emoji3]Daah! Kumbe mi nakunja parefu kwa mwezi,nmewapita wengi.
Andika kiume kwanza usilete utoto wakati umeuliza mada ya maana. Unaandika kama mada ya kubet.Anasoma v2 vigumu ana integrate solve vya kutoxha inshort ni hustle mpk kuwa eng hafu salary ndogo
Mfamasia laki 9[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaota wewMwalimu 716,000
Mwanasheria 950,000
Muuguzi 980,000
Mfamasia 980,000
Daktari 1,480,000
Mhandisi 950,000
Mhasibu 950,000 ukiwa na CPA,,ila ukiwa na degree ni 710,000
Mkuu mishahara mingine inategemea nataasis, mfano Engineer aliejaliwa DAWASA huo mshahra hapo juu, ukiuzidisha hata mara mbili bado haufikii.Engineer aliejariwa TPA,TANESCO, mshahara wake bado huo aliotaja nimdogo sana, Engineer alieajiriwa TANROAD kama intern anakunja tu 1.1M, hio Ni internship Sasa alieko permanent sio mchezo mshahara wake.Anasoma v2 vigumu ana integrate solve vya kutoxha inshort ni hustle mpk kuwa eng hafu salary ndogo
Nimekuelew mkuuAndika kiume kwanza usilete utoto wakati umeuliza mada ya maana. Unaandika kama mada ya kubet.
Lazima Ujue unakoelekeaHizi mada ndo zinawaingiza mkenge wanavyuo, mtu anasoma hajapata kazi anaanza kuulizia salary scale, sa itamsaidia nn.