Wanajf naomben kwa yeyote anayeweza kunifahamisha nafas ya kaz viwandani hata kubeba mizigo kupakia kwenye magar au kupanga bidhaa ghalan hata wakat wa usiku niko tayar. kiwanda chochote kile

kama kweli unaweza kubeba mizigo . njoo hapa Export Trading mbagala rangi 3 kuna kazi nyingi za kupakia mizigo na kushusha . utaonana na viongozi wa wabebaji watakupangia genge na kuanza kazi .kazi zipo kibao ushindwe wewe tu