Viwanda vya Pombe vipewe Ruzuku!

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
28,224
Reaction score
39,704
Ikiwa vyama vya Siasa vinapewa Ruzuku. Iweje sekta inayoingiza Kodi kwa wingi hawapewi Ruzuku toka mfuko mkuu wa Taifa? Tatizo ni Nini? Tumechelewa sana!







 
Asubuhi yote hii unawaza pombe mkuu, punguza ulevi bwana.

NB๐Ÿ˜›oint yako ina mashiko
 
Vimeomba Kupewa ?

Kwanza kutokana na matatizo inayoleta (ikiwemo vyama vya Siasa) vianze kulipa na sio kupewa..., Yaani kama Pombe inavyolipa na vyenyewe hali kadhalika You Pay according to Your Strength kwahio CCM ilipe maradufu
 
Ruzuku ya nini wawape wauza mafuta ya magari ili tuweze kufika kwa wakati bar๐Ÿ˜€
๐Ÿ˜€๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿป๐Ÿบ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ