Kumekuwa na mazoea ambayo kila mgombea URais wa chama flan anakuwa na kauli mbiu yake hii si mbaya lakin kumekuwa na kosa kubwa ambalo kamwe hatuwezi kusonga mbele tunashindwa kuwa na muendelezo wa pale anapoishia Rais aliyepita na Rais ajaye sasa nikichukua mfano huu wa nchi ya viwanda Serikali haituambii ni kwann viwanda vilivyokuwepo vilikufa pia haituambii imechukua hatua gan kutatua tatizo lililosababisha viwanda vife ila inakuja na kauli ya viwanda viwanda viwanda, nikiongelea mfano mdogo wa serikali ya awamu ya 3 mh. Mkapa alibinafsisha viwanda kwa lengo zuri lakin matokea yakawa hasi nn tatzo? jibu ni usimamiz mbovu wa rasilimali na ukosefu wa elimu, Serikali hii ya awamu ya 5 imeweka mbele viwanda na kuacha nyuma Elimu wahenga walisema usimpe mtu samaki mfundishe kuvua. vivyo hivyo ushauri wangu na uelewa mdogo nilionao serikali ingeweka mbele Elimu kwanza Viwanda vutakuja bila shaka.
Hivi kwa mfano mwalimu angekuwa analipwa mshahara mzuri kama anaolipwa daktari au mhasibu na posho zinginezo ingeshawishi sana zile division one na two kusomea ualimu kuliko fani zingine kwasababu tu ya maslahi mazuri kwenye ualimu matokeo yake four na zero ndio zinaenda kwenye ualimu what you expect to produse? its four and zero. ushauri wangu mfumo wa elimu uangaliwe upya kwakwel.