VIWANDA VIDOGOVIDOGO VYA NGUO(Handlooms) Tz. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

VIWANDA VIDOGOVIDOGO VYA NGUO(Handlooms) Tz.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Cassian Lucas, Dec 29, 2011.

 1. C

  Cassian Lucas Member

  #1
  Dec 29, 2011
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nataka ni muombe Mh, Rais Jk. Atusaidie kututatulia swala hili la upandaji wa bei ya malighafi(Nyuzi) ilipanda toka mwaka 2009 mwezi9 kutoka 5,900 hadi 9,000 kwa madai ya kwamba Pamba hakuna wanaagiza ktoka nje, chakusikitisha sasa hivi pamba ipo kwa wingi Bei ime ongezeka kg1 Tsh,13,000! Kwakweli Rais okoa hiikali la sivyo viwanda hivi vidogo vita kufa kama viile VIKUBWA
   
 2. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  [FONT=&amp]Many Tanzanians have not done away with the habit of complaining everytime things go the wrong way. This is a syndrome we should avoid. We should change our mindsets by working hard instead of complaining. [/FONT][FONT=&amp]Without radical changes in the way of doing business Tanzania is not likely going to benefit much from the Common Market like her neighbours[/FONT][FONT=&amp]

  Ni ukweli serikali inapaswa kututengenezea mazingira rafiki, lakini kuna mambo tunayopaswa tuyatatue wenyewe. Walipoamua (Serikali) tuingie kwenye mfumo wa Soko huria (tutakaa kimya) huku tukijua kuwa market prices zitakuwa determined by the forces of Demand and Supply, sasa katika mazingira haya ni nyie wenzangu na mie kuangalia namna ya kuuza hizo end products zenu kwa ku-laverage hizo cost kwa customer wenu, but at the end of the Day final consumer ndio atakayeumia (ndio maana imfumuko wa bei unazidi kupaa kila kukicha)
  [/FONT]
  [FONT=&amp]Ukweli ni kwamba (ingawa unauma), kwa mazingira ya sasa, Jamaa (Rais Kikwete) hawezi kuwasaidia zaidi ya kutoa ahadi tamu za kisiasa (kumbuka tangu watoe amri ya kuuza sukari 1700 leo ni 2300 kwa hapa Dar na sijui Mikoani!).[/FONT]
  [FONT=&amp]Najua tupo kwenye Soko la ushindani, na bidhaa zenu zitakapopanda sana bei mtashindwa ku-compete na bidhaa za namna hiyo kutoka nchi nyingine na matokeo yake ni kuua hivyo viwanda vyenu kabisa. Na hili lilipigiwa kelele sana hasa baada ya Serikali kuridhia ile mikataba ya GATT kutoka WTO., kwani mikataba hiyo ilikuja kuuwa zile sera za Protectionism.
  [/FONT]
  [FONT=&amp]Sasa tufanyaje?[/FONT][FONT=&amp] Lakini kumbuka wakati nyinyi mnalia, wakulima wanacheka kwani wanaona ni wakati wao wa kufaidi baada ya kuumia kwa kipindi kirefu. Nadhani lile suala la Contract Farming na kutengeneza Agriculture Value Chain lingewasaidia sana kwa wakati kama huu[/FONT]
   
 3. C

  Cassian Lucas Member

  #3
  Dec 31, 2011
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mchango wako ni mzuri sana, sasa tufanye nini ili Rais atu saidie tatizo letu kubwa ni Bei ya Nyuzi kupanda mara3, Wiyara wana piga danadana, halafu nilicho kugundua Wizara haina habari kama viwanda hivi vipo hili nalo ni tatizo
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Dec 31, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  tatizo ni kuchanganya siasa na kazi ndio kina waponza kuanzia JK hadi wafuasi wake.

  lakufanya ni kuungana wote mtetee haki zenu zaidi ya hapo hamna mtakachofanya yaani mfanye kama wauza mafuta..
   
 5. C

  Cassian Lucas Member

  #5
  Dec 31, 2011
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nakushukuru Ndeti....Mawazo yako mazuri inabidi tugangamale Viwanda vyote vya nguo vya uma vilipo uzwa tu nasisi tukakwama, Hasa kile cha Ubungo Spining ndiyo kilikua mkombozi wetu, Mbaya zaidi zile mashine zili ng'olewa na wale wahindi kwa madai wanaleta za kisasa toka mwaka97 matokeo yake kimefanywa Godown lkn yote sababu SIASA. Jk hajui!
   
Loading...