Viwalo Vya kina DADA

Mbuzi Mzee nipe bei iyo yenye langi ya black na saa pembeni, na mkoba wa chui chui na viatu vyake nimnunulie wife
 
Last edited by a moderator:
Umefungua wapi hilo duka maan mimi mi shoperholic
 
Simu yangu imegoma kufungua picha maskiniiiii
 
yaan wewe Mbuzi tena Mzee....acha ubaguzi mkuu...kina kaka wapi viwalo vyao:A S 39:
 
Last edited by a moderator:
Kuona si kuchukua lakini ni nguo za ukweli Mbuzi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…