Viva HE Prof. Nkuruzinza Viva Burundi

Viva HE Prof. Nkuruzinza Viva Burundi

SSH2025_2030

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
9,661
Reaction score
9,814
nkuruzinza.png
Kwa wale msiojua kabla Mhe. Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Prof. Pierre Nkuruzinza hajaingia msituni katika harakati alikuwa Mhadhiri (Professor) Chuo Kikuu nchini humo. Pia ni mwanadiplomasia mashuhuri duniani. US wenyewe wanamkubali kisiri siri, Picha inajieleza.
** UN acheni Double standard kaongeza muhula wa 3 kagame mmenyamaza, Mzee Mu7 mmepiga kimya, sasa Mhe. Pierre (tena katiba inamruhusu mmeanza mayowe) mkoje nyie!!
 
Back
Top Bottom