Viuno hivyo... raha tupu

Mambo hayo ni Uarabuni kumekucha na viuon vyao vya kurusha watu roho.

Hiyo ni Morocon style....mimi sioni kikubwa cha zaidi, hawashindi wananwake wa kibongo bana. Halafu huo msemo wenu wa mwanamke ni pambo ni udhalilishaji kabisa. Ninavyofahamu mimi mwanamke ni mlezi wa jamii, ikiwa atapotoka mwanamke basi jamii imeangamia.
 
Da! Watu mmefika mbali zaidi..!! Mnamkumbuka mungu lakini?
 
macho yanauma na kichwa kizito ngoja asubuhi niyacheki hayo mauno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…