Viumbe wenye uwezo mkubwa wa ubongo

fungi06

JF-Expert Member
Jul 1, 2020
634
858
Duniani kuna viumbe vitatu tuu.... vyenye mpangilio sawia kwenye ubongo. Navyo ni:~

A. Binadamu
B. Dolfine
C. Gorilla

Bila kusahau tembo mwenye ubongo mkubwa mno lakini uko fold ndani ya sehemu kubwa 3
( nitaweka nyungu...kwanini wanao ubongo mkubwa mno, ila tunajua tembo uwa wanatembea njia waliyo pita before aijalishi ni kizazi gani but huwa lazima wapite walipo pita once)

Kwa nadharia yangu, hao ndo wanyama au viumbe wenye uwezo mkubwa wa ubongo kufanya kazi kutokana na (complex na emotional bila kusahau critical thinking yao kuwa kubwa, kuliko viumbe vingine duniani)

N. B; naweza kua siko sahihi kulingana na research yangu karibu. Tujifunze....

 
Kumbe paka hana akili, nilikuwa nawaona wajanja kukimbizana na panya pamoja na kujificha tusiwaone kumbe si lolote. Ahaaaa kwa kweli wacha Wachina wawatafune tu.
 
Ulipomuacha nyoka nimegundua hii sio research ila ni habari.Kwa fikra zangu nyoka ana akili zaidi ya wanyama wote.Ana tahadhari,,hapigi hatua bila kujiridhisha na ni mwepesi kujificha na hatari kiasi Cha kudhani ameyeyuka.
Anaemfuatia labda tai.
 
Ulipomuacha nyoka nimegundua hii sio research ila ni habari.Kwa fikra zangu nyoka ana akili zaidi ya wanyama wote.Ana tahadhari,,hapigi hatua bila kujiridhisha na ni mwepesi kujificha na hatari kiasi Cha kudhani ameyeyuka.
Anaemfuatia labda tai.
Nyoka yupo aggressive mno vile vile tai pia...ukiongelea akili pia tunacheki nyanja tofauti ikiwa na pamoja ya kukontrol hisia nyoka no huwa akiisi hayuko safe uwa anaga plan b.... lazima udokolewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…