The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,349
- 11,850
Uzi huu unaonyesha viwango vya utambuzi wa akili (cognitive complexity) kwa wanyama tofauti, kuanzia viwango vya chini vya silika za kuishi hadi viwango vya juu vya kujitambua na kufikiri kwa kina.
MAELEZO YA VIWANGO VYA AKILI:
Kiwango & maelezo
Level 1: Mienendo ya silika ya kuishi tu (survival reflexes)
Level 2: Tabia changamano zaidi, hisia pana zaidi
Level 3: Mawasiliano ya kijamii na tabia ya kijamii kuongezeka
Level 4: Uthibitisho wa mipango na kujifunza kwa kuangalia wengine
Level 5: Uwezo wa kubadilika kifikra, kutumia zana au lugha
Level 6: Uwezo wa kutatua matatizo, tabia ya kijamii changamano (kuelewa hisia za wengine)
Level 7: Ushahidi wa kujitambua na tabia zinazozidi silika ya kuishi
Level 8: Nadharia ya msingi ya akili, ubunifu zaidi
Level 9: Nadharia changamano ya akili (theory of mind), uwezo wa kufikiri kuhusu fikra zao wenyewe (metacognition)
ULINGANISHO WA WANYAMA:
Kundi la Mnyama na Kiwango cha Juu Walichofikia
* Primates (binadamu, nyani) - Level 9
* Tembo - Level 7
* Dolphins/Pomboo - Level 8
* Mbwa - Level 5
* Kasuku - Level 6
* Cephalopods (pweza nk.) - Level 5
* Ndege - Level 4–5
* Social Carnivores (simba, mbwa mwitu) - Level 4
* Wanyama wa makundi (punda, nyati) - Level 3
* Samaki - Level 2–3
* Reptiles (mamba, kobe) - Level 2
* Molluscs (ngisi, konokono n.k.) - Level 1
* Jellyfish - Level 1
* Watanzania (special appearance) - Level 1 - 3