seandon
Member
- Feb 17, 2013
- 70
- 30
Acha ujinga
ww iwekee rims kali alaf fungia muffler ipeleke arusha,itanunuliwa cku hyohyo
Acha ujinga
Arusha hatununuagi vitu kizembe zembe kama unavyofkiria. Huku Muffler, Rims, Spoiler, Cleaner, Timer nk vimejaa ktk Nairobi na vitu vingine tunafunga wenyewe na kuwauzia wa mikoani..Atakosa mnunuzi huku kwa bei hiyoww iwekee rims kali alaf fungia muffler ipeleke arusha,itanunuliwa cku hyohyo
Arusha hatununuagi vitu kizembe zembe kama unavyofkiria. Huku Muffler, Rims, Spoiler, Cleaner, Timer nk vimejaa ktk Nairobi na vitu vingine tunafunga wenyewe na kuwauzia wa mikoani..Atakosa mnunuzi huku kwa bei hiyo
Lazima kuna mchaga anakupumulia wewe sio bure!Bei hiyo kawauzie uchagani, maana huko ndo washamba.
ni cheaper ukilinganisha na bei ya kununulia huku Tz..boss hivi kitu kama mufflers,turbo timers,turbo kit and car performance accessories kuvileta from nairobi ni cheaper?
Gari ya Kike
Washamba msio jua maduka ya magari mmeona hicho kichekesho ? hata mkurya hajanunua kwa bei hiyo.
You are joking, aren't you?