mkuu weka pic, namba mfano a au b na vitu kaizo!
Weka picha acha porojo afu 3.5m unapewa
Jiamini kwa kuweka picha
Toyota Vitz inauzwa bei ni million 5. Plate number B...Ya1999. Ina km 148000. Cc990. Haijawahi kutoka Dar. Kila kitu kinafanya kazi. Haijangonga wala kupata ajali yeyote. Ukiwa serious ni check kwenye WhatsApp number 0718385553.nkutumie picha