mmewadadako
JF-Expert Member
- Mar 29, 2019
- 534
- 850
inafika vizuri tu mkuu..gari alikua anatumia mwanamke..si unajua wanawake walivyo watunzajiIko vizuri..
Inaweza kwenye mpaka Arusha bila shida?
Sawa ngoja mtakuipa jibuinafika vizuri tu mkuu..gari alikua anatumia mwanamke..si unajua wanawake walivyo watunzaji
kwa safari ndefu kama hio unapiga service yako tu ya maana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa ngoja mtakuipa jibu
Sawa mkuu
inafika vizuri tu mkuu..gari alikua anatumia mwanamke..si unajua wanawake walivyo watunzaji
kwa safari ndefu kama hio unapiga service yako tu ya maana
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaa mkuu sio kweli unachokisema ..mwanamke akiskia kitu tofauti tu kwenye gari lazima apeleke gereji..Kwa watu walio makini watakwambia mwanamke siyo mtunzaji mzuri wa gari.
Usipende kutumia utetezi huu.
hahaa mkuu sio kweli unachokisema ..mwanamke akiskia kitu tofauti tu kwenye gari lazima apeleke gereji..
Afu kingine huwa ni waoga sana road so hujitahidi kuendesha kwa makini hivyo magari yao huwa yanakua safe
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri inategemea, shemeji yangu alikaa na gari zaidi ya miaka miwili hajawahi zidi spidi 50, kuna siku nilienda na mshkaji wangu kwa shemu akashangaa kukuta gari iko vilevile wakati ishapita miaka toka inunuliwe akamuuliza shem hii gari unaendeshea sebleni?Kwa watu walio makini watakwambia mwanamke siyo mtunzaji mzuri wa gari.
Usipende kutumia utetezi huu.