Panga Makalikuwili
JF-Expert Member
- Aug 30, 2016
- 291
- 432
Wanasema Samia katoa hela as if zake binafsihivi kuna kitu chochote cha serikali kiliishajengwa kwa nguvu za mtu binafsi?
si katoa hazinaWanasema Samia katoa hela as if zake binafsi
watakuambia vimejengwa na ilani ya chama😢Kila senti ya tozo itakayotumika kwa ajili ya shuguli za maendeleo ya wananchi ni vyema iwekwe wazi kuwa ni michango ya wananchi imefanikisha jambo hilo.
Kwa sababu tozo hizi zinakatwa kama michango ya lazima kugalamia maendeleo ya nchi.Ni kama nguvu ya uma inajenga nchi bila kujali itikadi za kisiasa.
Sasa isije tokea chama fulani wakati wa kampeni za uchaguzi kinatumia matunda yaliyotokana na tozo kwa manufaa ya chama.Hivyo basi ingekuwa vizuri kama vituo vyote vya afya vitakavyojengwa kwa pesa ya tozo viandikwe kwa maandishi yanayoonekana kuwa KIMEJENGWA KWA PESA YA TOZO (NGUVU YA WANANCHI)
mataga hayatakuelewa hapa.yaani humu sijuo km wamesoma hawa tunaweza kuwa tunaongea na watu wa hovyo sana. Humu vitoto vya shule...walevi....wachungaa mbuziHivi kuna kitu chochote cha serikali kiliishajengwa kwa nguvu za mtu binafsi?
Chupa imeamka na chai nini!!mataga hayatakuelewa hapa.yaani humu sijuo km wamesoma hawa tunaweza kuwa tunaongea na watu wa hovyo sana. Humu vitoto vya shule...walevi....wachungaa mbuzi
Hivi kuna kitu chochote cha serikali kiliishajengwa kwa nguvu za mtu binafsi?
Haya ona sasa mwingine huyu!!! Utawajua tu!!Chupa imeamka na chai nini!!
Thubutuuu. Watakutajia idadi tu ila kamwe hawatavilist.Mimi nahitaji idadi ya vituo hivyo na majina yake.
Vyote vinavyofanywa kwa asilimia kubwa vinatokana na nguvu ya Wananchi kupitia Kodi/Tax Makato, Michango Mikopo N.K.Kila senti ya tozo itakayotumika kwa ajili ya shuguli za maendeleo ya wananchi ni vyema iwekwe wazi kuwa ni michango ya wananchi imefanikisha jambo hilo.
Kwa sababu tozo hizi zinakatwa kama michango ya lazima kugalamia maendeleo ya nchi.Ni kama nguvu ya uma inajenga nchi bila kujali itikadi za kisiasa.
Sasa isije tokea chama fulani wakati wa kampeni za uchaguzi kinatumia matunda yaliyotokana na tozo kwa manufaa ya chama.Hivyo basi ingekuwa vizuri kama vituo vyote vya afya vitakavyojengwa kwa pesa ya tozo viandikwe kwa maandishi yanayoonekana kuwa KIMEJENGWA KWA PESA YA TOZO (NGUVU YA WANANCHI)
Ndo mambo yasiyotakiwa hayoKwanza hivyo vituo vitaitwa majina ya wana CCM tu
Pili wasema Samia ametoa mabilioni kujenga vituo vya Afya nchi nzima