Mkuu hata mimi nimeisoma yaani nimesoma miaka 3, ila ukweli ni kwamba Ujasirimali haufundishwi, na wewe unaweza ukawa shihidi baada ya kusoma je uliweza kubadili fikra? ninavyo jua pale hufundishwa kozi kama Marketing, Business planin, busniess grow, na kazalika, na si kwamba hizi kozi ndo ujasirimali, na hapa nin jina kwa sababu utaona wanao soma Business Admnistration au Business Managment vitu wanavyo soma ni hivyo hivyo wanavyo soma wanao soma full Intreneurship, Ki usahihi inatakiwa iwe Business study.