Nibozali
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 572
- 1,055
Jeshi la Polisi Zanzibar limesema kuwa limelazimika kufunga vituo vidogo katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja kutokana kukabiliwa na upungufu wa Askari visiwani hapo. Hayo yamesemwa na Kamishna wa Polisi Zanzibar, Hamdan Omar Makame, amesema kuwa vituo hivyo vimefungwa na sasa vitalazimika kutumiwa na askari Jamii katika kuimarisha ulinzi. “Tuna askari wachache ndiyo maana vituo vidogo tumelazimika kuvifunga na badala yake vitatumiwa na askari Jamii kutoa huduma za ulinzi katika maeneo yao.” amesema Kamishna Hamdan.
Source: Dar24
Maoni yangu!
Hivi kwa nini tunafikia hatua ya kukosa watu mhimu katika jamii kama Askari ilihali watu tens wasomi walioko mtaani wanatamani nafasi hizo ila Serikali hii ya Mazingaombwe imewabania?. Kitendo cha kukabiliwa na uhaba Wa Askari ni hatari kwa usalama Wa nchi, wananchi na Mali zao