Vituo vya mafuta vyagoma kuuza mafuta Mbeya

Vituo vya mafuta vyagoma kuuza mafuta Mbeya

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
10,569
Reaction score
21,081
Vituo vya mafuta jijini mbeya vimegoma
kuuza mafuta aina ya Petrol sababu ya
kupinga hatua ya EWURA kupunguza bei
ya mafuta kuanzia leo wakidai ni hasara
kwao sababu wenyewe walinunua kwa
bel kubwa iweje leo wauze kwa bei
ndongo wameomba wapewe angalau
siku kadhaa
kumalizia mafuta waliyonayo sasa katika
vituo vyao
Baadhi ya wananchi waliobahatika kupata
mafuta katika kituo cha ORXYambacho
kilikua kinauza lita tano tano kwa kila
mmoja
 
Vituo vya mafuta jijini mbeya vimegoma
kuuza mafuta aina ya Petrol sababu ya
kupinga hatua ya EWURA kupunguza bei
ya mafuta kuanzia leo wakidai ni hasara
kwao sababu wenyewe walinunua kwa
bel kubwa iweje leo wauze kwa bei
ndongo wameomba wapewe angalau
siku kadhaa
kumalizia mafuta waliyonayo sasa katika
vituo vyao
Baadhi ya wananchi waliobahatika kupata
mafuta katika kituo cha ORXYambacho
kilikua kinauza lita tano tano kwa kila
mmoja

Mbeya ndo nchi gani hiyo, Siye tuko huku Dar nchini Tanzania na mafuta ya kumwaga ila pesa tu za kununua hayo mafuta kuweka kwenye gari zetu hatuna ndo mana tumepack gari mahome.
 
Kuna kundi limejikusanya hapa uhindini wanataka kuchoma sheli. Ntawajulisha zaidi yanayojiri
 
SIO MBEYA PEKEYAKE TANGA NIMEAMBIWA WAMEGOMEA KUUZA PETROL KWA ZAIDI YA WIKI MOJA SASA , WAO WANAUZA DIZELI PEKEYAKE ISIPOKUA KITUO KIMOJA TU CHA GBP,
WAKIAMBIWA WAPANDISHE BEI UTAONA KUANZIA SAA SITA USIKU ZIMEPANDA, WAKIAMBIWA WASHUSHE WANADAI WANAPATA HASARA, kwani hawa wamiliki wa vituo vya petrol wana nguvu kuishinda serikali kweli!!!!!
mimi siamini hilo
 
Serikali ni watu na watu wenyewe ndo hao wenye vituo vya mafuta, au hujui hilo?
 
Huku kusini nako jana nimenunua lita 3900 vichchoroni, labda mafuta yetu yakichimbwa pale mtwara bei itashuka pengine lita sh 40
 
Serikali ikiwa legelege individual decisions ndo zatawala
 
Back
Top Bottom