Prochnost Member Joined Jul 8, 2016 Posts 42 Reaction score 9 Aug 2, 2017 #1 Habari ya asubuhi ndugu zangu, nina gunia 250 za vitunguu nauza kwa atakaehitaji tafadhali tuwasiliane 0622007272. Sent using Jamii Forums mobile app
Habari ya asubuhi ndugu zangu, nina gunia 250 za vitunguu nauza kwa atakaehitaji tafadhali tuwasiliane 0622007272. Sent using Jamii Forums mobile app
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,765 Reaction score 126,673 Aug 2, 2017 #2 Kila la kheri mkuu
Eternal_Life JF-Expert Member Joined Oct 28, 2016 Posts 812 Reaction score 1,675 Aug 2, 2017 #3 Mkuu samahani lakini,unaweza kuniambia izo ni hekari ngapi umevuna na mbegu gani maana nataka nianze kilimo uko uko Ruha
Mkuu samahani lakini,unaweza kuniambia izo ni hekari ngapi umevuna na mbegu gani maana nataka nianze kilimo uko uko Ruha
Nichumu Nibebike JF-Expert Member Joined Aug 28, 2016 Posts 8,658 Reaction score 15,814 Aug 2, 2017 #4 Unauzaje?
B baba glory JF-Expert Member Joined Jan 22, 2016 Posts 292 Reaction score 213 Aug 4, 2017 #5 Eternal_Life said: Mkuu samahani lakini,unaweza kuniambia izo ni hekari ngapi umevuna na mbegu gani maana nataka nianze kilimo uko uko Ruha Click to expand... Hizo ni roughly acre 5 kumbuka hizi ni zile za 70*70 Sent using Jamii Forums mobile app
Eternal_Life said: Mkuu samahani lakini,unaweza kuniambia izo ni hekari ngapi umevuna na mbegu gani maana nataka nianze kilimo uko uko Ruha Click to expand... Hizo ni roughly acre 5 kumbuka hizi ni zile za 70*70 Sent using Jamii Forums mobile app
W wiser1 JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 2,606 Reaction score 3,979 Aug 4, 2017 #6 Mkuu kila heka umepata gunia 50 tu? Aseee sawa hongera kwa kulima Sent using Jamii Forums mobile app