Vitunguu maji vinakomaa kwa muda gani?

Vitunguu maji vinakomaa kwa muda gani?

mtanda3

New Member
Joined
Jan 3, 2017
Posts
1
Reaction score
1
Habari wadau,

Napenda kujua vitunguu maji vinakomaa kwa siku ngapi?
 
Hivi vitunguu mwaka huu kazi ipo maana kila mtu anataka kulima
 
Hivi vitunguu mwaka huu kazi ipo maana kila mtu anataka kulima
watuwengi wasikutishe mana kupanga jambo na kutekeleza jambo ni vi2 vi2 tofaut so wanamipango weng ila watakao fanikisha wachache ndugu
 
watuwengi wasikutishe mana kupanga jambo na kutekeleza jambo ni vi2 vi2 tofaut so wanamipango weng ila watakao fanikisha wachache ndugu

Una akili kubwa na matumizi mazuri ya akili yako,utfanikiwa sana.Wengi wanapotea kwa kuwasikiliza wengine na akili zao wanazinyamazisha kimya.Hongera kwa kutambua thamani ya akili yako.
 
Back
Top Bottom