sakapal JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 1,804 Reaction score 1,425 Feb 14, 2013 #1 Watoto huwa hawadanganyi kampa live mama yake daaah! I don't like you Mommy - YouTube ni mbaya sana wazazi kugombana mbele ya watoto maana wanarekodi kila kitu na hapa wanaiga... Cute Fighting Ever - YouTube huyu baba lazima atakuwa hajawahi kumwambia mkewe i love u loooh maana mtoto kagoma kabisaaa....... FUNNIEST BABY TELLING DADDY NO NO - YouTube Je ushawah kupokelewa hivi? Daddys' home 8 months - YouTube
Watoto huwa hawadanganyi kampa live mama yake daaah! I don't like you Mommy - YouTube ni mbaya sana wazazi kugombana mbele ya watoto maana wanarekodi kila kitu na hapa wanaiga... Cute Fighting Ever - YouTube huyu baba lazima atakuwa hajawahi kumwambia mkewe i love u loooh maana mtoto kagoma kabisaaa....... FUNNIEST BABY TELLING DADDY NO NO - YouTube Je ushawah kupokelewa hivi? Daddys' home 8 months - YouTube