Vituko vya wanafunzi ndani ya mitihani!

Nakumbuka wakati tuko form 4,jamaa mtihan ukawa umemgonga akanambia nimuoneshe majibu adese nikakataa,basi alinichoma na bikari nikapiga kelele,invigilator alpokuja nkamwambia kuna mdudu amening'ata
 


Hii stori niliikuta Mazengo Advance
 
mm nikiwa udsm mshikaji aliniomba msaada nikamwambia asubiri,jamaa akaona anachelewa akavuta paper yangu. nilichoka
 

hataree
 
Shule moja hivi Morogoro.

Watu walipata inayodhaniwa kua ni feki. Wakashinda na kukesha nayo wakikariri. Usiku Mzima wako nayo tu na mpaka wanaingia asubuhi bado wanayo tu.

Kimbembe ile kuingia darasani Kumbe kitu" sio".

Hatukubali, sio yenyewe, mmetubadilishia, sio haki n.k. ndio kauli zilizosikika kutoka kwa wanafunzi hao.

Kilichofuata ni kurusha viti, kuvunja madawati, kuchana pepa, kumkimbiza invigilator n.k.
 
Baada ya wanafunzi kuomba ruhusa mara Kwa Mara wakienda chooni msimamizi akawa haelewi kinachoendelea.Mwanafunzi mwingine alipoomba ruhusa msimamizi akamwambia "Hata usipoenda desa nmeshalitoa".Kijana akakaa na kuendelea kujibu mtihani.Hadi mtihani unaisha hakuna alotoka tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…