Hivi Majuzi Nilikua Zim, na katika moja ya Mkutano wake na waandishi wa Habari, Mr Zim RM aliwazingua waandishi kwa swali lao la kizushi na akawapa majibu ya Kizushi
Mwandishi:
Mr President, When are you going to say Goodbye to your People?
Mugabe:
Where are they Going?

anasema hakuingia Ikulu kwa karatasi na hawezi kuondoka kwa karatasi
sina hakika kama ni wa kusifi hivi.
Alipigania uhuru? Ndio, mchango wake unakubalika? Ndio, je ameweza kuwafikisha wazimbwabwe watakapo? Sidhani, je yeye ndio anafaa kuongoza hadi kufa? Hapana.
Kama Fidel Castro, anamteua kaka yeye yuko kitandani.