Huyu jamaa mbona anapenda sana misiba? Hamna msiba ambao hajatokea....kila mahali penye msiba lazima awepo! Hata kama ni mtu wa kuguswa sana, lakini hii imekuwa too muchLeo kwenye mazishi ya mke wa mwenyekiti wa UVCCM wilaya ya Arusha mjini God Mwalusamba, kijana Waziri Mbeyu dereva wa familia ya rais kikwete, ametoa salam za rambirambi kwa niaba ya Rais na mwenyekiti wa CCM taifa! ilhali alikuwepo Dc wa Arusha mjini Raymond Mushi, mwenyekiti wa CCM wilaya ya arusha ndg. Kileo, Meya wa jiji la Arusha, mjumbe wa CC BENO Malisa , lakini wote walionekana hawafai kumuwakilisha JK eti kawakilishwa na dereva.
kilichovutia wengi kwenye msiba huo ni mwenyekiti wa kamati ya mazishi mh.GODBLESS LEMA mbunge wa arusha namna alivokuwa akiendesha shuguli hiyo huku wana CCM wakiwekwa kando. huku mfiwa bwn. MWALUSAMBA akisikitika kutokuja kwa rafiki yake kipenzi Prince Ridhiwani Kikwete.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREMU MAHALI PEMA PEPONI
source? Au udaku
Ndio mkuu,anahudhuria sana ili zake zikifika apate wasindikazaji lukuki! Teh,teh,teh!Huyu jamaa mbona anapenda sana misiba? Hamna msiba ambao hajatokea....kila mahali penye msiba lazima awepo! Hata kama ni mtu wa kuguswa sana, lakini hii imekuwa too much
Huyu jamaa mbona anapenda sana misiba? Hamna msiba ambao hajatokea....kila mahali penye msiba lazima awepo! Hata kama ni mtu wa kuguswa sana, lakini hii imekuwa too much
Huyu jamaa mbona anapenda sana misiba? Hamna msiba ambao hajatokea....kila mahali penye msiba lazima awepo! Hata kama ni mtu wa kuguswa sana, lakini hii imekuwa too much
Huyo dereva si katumwa na Mkulu. Sasa ukitaka iweje?
DC ametumwa na Lowassa? DC na dereva kwa akili yako yupi ni mwakilishi wa wananchi zaidi?
Ni ujuha huo.
DC ametumwa na Lowassa? DC na dereva kwa akili yako yupi ni mwakilishi wa wananchi zaidi?
Ni ujuha huo.
Huyu jamaa mbona anapenda sana misiba? Hamna msiba ambao hajatokea....kila mahali penye msiba lazima awepo! Hata kama ni mtu wa kuguswa sana, lakini hii imekuwa too much
Ni kweli asiyejua maana usimwambie maana akijua atasumbua sana.Sio ujuha Mkuu. Ni akili zako fupi. Asiyejua maana usimwambie maana.
Leo kwenye mazishi ya mke wa mwenyekiti wa UVCCM wilaya ya Arusha mjini God Mwalusamba, kijana Waziri Mbeyu dereva wa familia ya rais kikwete, ametoa salam za rambirambi kwa niaba ya Rais na mwenyekiti wa CCM taifa! ilhali alikuwepo Dc wa Arusha mjini Raymond Mushi, mwenyekiti wa CCM wilaya ya arusha ndg. Kileo, Meya wa jiji la Arusha, mjumbe wa CC BENO Malisa , lakini wote walionekana hawafai kumuwakilisha JK eti kawakilishwa na dereva.
kilichovutia wengi kwenye msiba huo ni mwenyekiti wa kamati ya mazishi mh.GODBLESS LEMA mbunge wa arusha namna alivokuwa akiendesha shuguli hiyo huku wana CCM wakiwekwa kando. huku mfiwa bwn. MWALUSAMBA akisikitika kutokuja kwa rafiki yake kipenzi Prince Ridhiwani Kikwete.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREMU MAHALI PEMA PEPONI
Ni kweli asiyejua maana usimwambie maana akijua atasumbua sana.