Ki Mun
JF-Expert Member
- Oct 6, 2014
- 3,443
- 4,386
Nukuu ya Mrisho Gambo, kutoka gazeti la Mtanzania la leo Jumamosi tarh. 20/05/2017
“Tofauti na nchi za wenzetu uchaguzi unapokwisha kila mmoja anaendelea na majukumu yake ili kupisha yule ambaye ilani yake imekubalika kwa wananchi atekeleze ilani hiyo, kama ulikuwa mwalimu unarudi kufundisha, Afrika na hasa Tanzania ni tofauti kidogo, watu wanafanya siasa kwa saa 24 mwaka mzima,” alisema Gambo na kuongeza....
>>>>Sasa mimi najiuliza, mbona sasa anawazuia waliokubalika na wananchi wa Arusha wafanye kazi yao ya kuwahudumia watu wao? Au labda nielimishwe ilani iliyokubalika katika majimbo karibia yote ya Mkoa wa Arusha ni ya chama kipi? Na yeye Gambo amechaguliwa lini, na alichaguliwa na nani? <<<<
HAKIKA HUYU NI BASHITE MWINGINE...NCHI HII TUNA MABASHITE WATATU!