Vituko vya couple za JamiiForums

Vituko vya couple za JamiiForums

Ngoja niongeze couple ili niwe na couple nyingi mpaka niitwe mcouple-couple
 
Tulio Single wanatuoshea kweli

Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
 
Sasa kwan ujui kazi ya mwanamke ni kukutia majaribuni

Eee huyo babu namwogopa bora nibaki na Ivuga wangu
Ungejua kuwa Asprini ni kijana mdogo na smart wala usingesema
 
Ungejua kuwa Asprini ni kijana mdogo na smart wala usingesema
Eeeh kumbe unamjua ee .sasa si anajizeesha mwenyw kwa kujiita babu na majina mabaya mara chloroqune sjui Aspirin
 
Back
Top Bottom