Vituko vya Air Tanzania: The wings of kilimanjaro!

Mtiririko wa malalamiko yako ndugu ni wa nyati aliyejeruhiwa, Tumezikamata nyeti ulifukuzwa kazi kwa wizi wa tiketi na vyeti vya elimu feki, sasa una hasira na Menejimenti ya ATCL ile mbaya, pole eeh rudi shule acha uzushi!
 
The thing is huko serikalini hakuna mwenye adabu ambaye anaweza kaa na kufikiri kitu endelevu all they think! wataiba kiasi gani, how? Hiyo ndio tofauti ya watu wanafikiri kuendeleza nchi na mafisadi! Kwa hiyo kinachofanyika huku nje ni viini macho! Ndani ni ufisadi mtupu! Hebu fikiri tuna sababu gani ya kuwa na shirika la ndege lililochoka namna hii! With fair price ticket hundred and hundred of passengers Tumeliona hilo na community airline kila mtu alikuwa anataka fly! Mafisadi wamefanya nini! Guess you know the answer!!! And we have a president who watches while all this are happening!
Hatuwezi kujifunza hata kwa majirani zetu Kenya airways, what is the secret behind! Tuna soko la ndani so promising! Jamani fisadi hana aibu they want to monopolize everything and the Government is just watching! When shall we seriously think and act for our country! When shall seriously put our personal interest aside and think for a better Tanzania! Tunahujumu kila kitu cha serikali! We are parasitising our own country! Unakuta mtu anapongezwa! "mepata ulaji mwanangu" Unafikiri huyo mtu atakaa kwenye dawati lake afikiri jinsi gani atafanya kuleta maendeleo ya nchi obviously atafikiri ataibaje because that is what watu wanategemea!
Kulibadili hilo! One hero must stand and say ENOUGH IS ENOUGH! WE ARE FUCKING TIRED OF THIS MOTHER FUCKING UFISADI IN OUR FUCKING COUNTRY!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…