Vituko vya Air Tanzania: The wings of kilimanjaro!

unanikumbusha wakati joshua akiwa mzee MUNGU AKAMKUMBUSHA JOSHUA UNAZEEKA MBONA NCHI IMEJAA MALI,INAITAJI UONGOZI,,,KUMBE NA JF WAMO
MKULU SIJUI KAMA HILI LA ATC LITAISHA,...NI KAZI KUBWA SANA
NAKUPA KAMFANO KADOGO UKACHAKATUE MWENYEWE MCHINA ALIFIKA PALE AKIWA NA LENGO LA KUICHUKUA ATC.AKAONGEA NA WAZIRI WETU WA MUM ,KALAMBWA,...AKAAIDIWA AKIJA ANAKABIDHIWWA AKIWA HUKO AKATANGAZA ATAITAJI 3 TOPS ../..MKURUGENZI ,CFO,NA COMMERCIAL WAWE EXPERTS ,...WADANGANYIKA WAKAENDA KWA WAAZIRI NA KUMDANGANYA YULE JAMAA ANA JIPYA TAPELI TU WATU TUMECHUNGUZA ...NA MANENO KIBAO KUMBE WATU WANALINDA POST ZAO,..ULIMBUKENI WA WAZIRI WETU NAE KAENDA KUONGEA PUMBA KWA RAIS,...SASA WEWE MMEKUBALI KUPOKEA KILINDA UCHUMBA""ZILE NDEGE MBILI NDOGO WALIZONANZO""halafu unakimbia NDOA huo si upuuzi jamani,..
kwa watanzania kama bikira ashakutoa saa nyingi...matokeo yake sikiliza hili
Lile ndege kubwa lilioleta mzozo liko uko ufaranza kwa marekebisho inavyosemekana wameamua kuweka ndege za hawa wachina hizi mbili kama guarantee ikitokea kushindwa kuilipia..kisa serikali kuchomoa kutoa guarantee.......nchi italiwa na wenye nchi

HOSIANA JUU MESIA
Mtiririko wa malalamiko yako ndugu ni wa nyati aliyejeruhiwa, Tumezikamata nyeti ulifukuzwa kazi kwa wizi wa tiketi na vyeti vya elimu feki, sasa una hasira na Menejimenti ya ATCL ile mbaya, pole eeh rudi shule acha uzushi!
 
The thing is huko serikalini hakuna mwenye adabu ambaye anaweza kaa na kufikiri kitu endelevu all they think! wataiba kiasi gani, how? Hiyo ndio tofauti ya watu wanafikiri kuendeleza nchi na mafisadi! Kwa hiyo kinachofanyika huku nje ni viini macho! Ndani ni ufisadi mtupu! Hebu fikiri tuna sababu gani ya kuwa na shirika la ndege lililochoka namna hii! With fair price ticket hundred and hundred of passengers Tumeliona hilo na community airline kila mtu alikuwa anataka fly! Mafisadi wamefanya nini! Guess you know the answer!!! And we have a president who watches while all this are happening!
Hatuwezi kujifunza hata kwa majirani zetu Kenya airways, what is the secret behind! Tuna soko la ndani so promising! Jamani fisadi hana aibu they want to monopolize everything and the Government is just watching! When shall we seriously think and act for our country! When shall seriously put our personal interest aside and think for a better Tanzania! Tunahujumu kila kitu cha serikali! We are parasitising our own country! Unakuta mtu anapongezwa! "mepata ulaji mwanangu" Unafikiri huyo mtu atakaa kwenye dawati lake afikiri jinsi gani atafanya kuleta maendeleo ya nchi obviously atafikiri ataibaje because that is what watu wanategemea!
Kulibadili hilo! One hero must stand and say ENOUGH IS ENOUGH! WE ARE FUCKING TIRED OF THIS MOTHER FUCKING UFISADI IN OUR FUCKING COUNTRY!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom