Vituko, visa na vibweka vya machangu

Vituko, visa na vibweka vya machangu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,386
Reaction score
829,665
Siku kikieleweka mtaa mzima mtajua, mtarushwa roho mwanzo mwisho, akiamka saa nne ataenda sokoni akirudi kanunua samaki, nyama steki na maini nk atajipikisha vyote hivyo nje ya chumba chake tena na kanga moko na taarabu za vijembe juu, wenye waume zao watakoma! Siku hakijaeleweka wanakuwa kama wagonjwa na watagombana na kila mtu, hawataamka mapema na jirani akijipigia taarabu yake atahisi kawekewa yeye! Ni watu ambao mood zao zinaendana na nini kapata siku hiyo.
 
Siku kikieleweka mtaa mzima mtajua, mtarushwa roho mwanzo mwisho, akiamka saa nne ataenda sokoni akirudi kanunua samaki, nyama steki na maini nk atajipikisha vyote hivyo nje ya chumba chake tena na kanga moko na taarabu za vijembe juu, wenye waume zao watakoma!! Siku hakijaeleweka wanakuwa kama wagonjwa na watagombana na kila mtu, hawataamka mapema na jirani akijipigia taarabu yake atahisi kawekewa yeye! Ni watu ambao mood zao zinaendana na nini kapata siku hiyo

No coments
 
Mkuu hiyo inaitwa zero grazing. Chakula kimo humo humo ndani ng'ombe hapelekwi machungani!

hahahahaaa sibonike ndo maana kuna masela kuna nyumba hawahamagi hata kodi ikipandishwa
 
Mmh!kaka yangu nae.chunga tu wasije wakakuundia zengwe wakuteke maana hawa ndg hatareeeeee
 
nyumba moja kabisa tena huwa napataga ofa mara moja moja wakifurahi au mkopo

Duh!Noma Sana'a, ndo maana unaletaga sredi za kuwahusu wajasiria ila pungudha rumburia.Uimanyije ngoma? Erawe turekukunda shighana navo tunekujika ikiiki aha thela avae! Ndruuukiii
 
duh!noma sana'a, ndo maana unaletaga sredi za kuwahusu wajasiria ila pungudha rumburia.uimanyije ngoma? Erawe turekukunda shighana navo tunekujika ikiiki aha thela avae! Ndruuukiii

chanaiti shigha vichike ambiere
 
Usiseme Machangu lugha ya kitaalamu huitwa waauza UTAMU, ila ndugu yangu kuwa makini mana hawa watu balaa kila sectar kwenye game.
 
Hiyo kawaida kwa kila anayefanya kazi akipata kuna namna ya kufurahi na watu wakajua kuwa amepata,akikosa pia huwa na huzuni na hasira muda wote
 
sina experience nao. kumbe nikiona mdada yupo single kapanga chumba na anatabia hizi nijue changu?
 
kupanga nyumba moja na machangu raha sana,ila full time uwe na box la kondom mana muda wowote inaweza ikatokea dharura
 
Back
Top Bottom