moja ya tabia nisiyoipenda ni iyo kuomba motoWamama wa uswazi wanasomba Maji kwa kichwa huku wamevaa kanga moja tu kifuani
Mama wa kiswazi ananunua maandazi chai kwa jirani anaenda na kikombe kuomba
Wa baba wa uswazi wanapenda kukaa vibarazani wamevaa taulo hata siku nzima
Wamama wa uswazi hawawashi moto kabisaaa,,anaweza kwenda hata nyumba ya kumi na jalo