NakaziaMchawi pesa, lakini isiwe kigezo cha kuondoa UTU wa mtu
[emoji3516]Wajuba kwenye mahusiano ya kindoa huko ukweni kuna vituko vingi sana. Hebu tuangalie vichache. Unakuta familia ina mabinti kama watatu, wanne, watano na kuendelea wameolewa na wanaume wenye vipato na hadhi tofauti.
Mkwe mwenye kipato kidogo huishia kudharauliwa na kutumwa kazi za hovyo hovyo na hapewi heshima kama watozi wenzake. Mara akapasue kuni, mara akalime, kuchunga na udhalilishaji mwingine ukweni.
Lakini wengine hawatumwi kipuuzwi wanapewa heshima kubwa, wanapikiwa misosi mizuri ya heshima, wanachinjiwa kuku, mbuzi, wanakunywa mchuzi, kulamba asali na maziwa lakini kapuku ugali dona bamia imetoka hiyo?
Mimi ushenzi huo sikubali na hawataniona ukweni ili heshima iwepo. Nyumbani nako unaoa lakini mke wako naye anatumikishwa kazi za hovyo hovyo lakini wake za ndugu zako wanaheshimiwa kwa kuwa waume zao wana ajira safi fedha ipo. Mke wangu akishushiwa heshima nitakuwa mkali kutaka heshima sawa kwa wake zetu. Huwa sipendi ujinga ukweni na nyumbani, tuheshimiane
Si ndio hapo😂 paragraph ya mwisho amekua mkali utafikiri sisi ni wakwe zake😂🤣🤣 Imekuwaje kwani?
👿👿👿Ngoja waje
fanya kazi kwa bidii na uwe na uhakika wa kipato na hutakutana na changamoto na fedheha ndongo ndogo kama hizo gentleman. pesa ndio kila kituWajuba kwenye mahusiano ya kindoa huko ukweni kuna vituko vingi sana. Hebu tuangalie vichache. Unakuta familia ina mabinti kama watatu, wanne, watano na kuendelea wameolewa na wanaume wenye vipato na hadhi tofauti.
Mkwe mwenye kipato kidogo huishia kudharauliwa na kutumwa kazi za hovyo hovyo na hapewi heshima kama watozi wenzake. Mara akapasue kuni, mara akalime, kuchunga na udhalilishaji mwingine ukweni.
Lakini wengine hawatumwi kipuuzwi wanapewa heshima kubwa, wanapikiwa misosi mizuri ya heshima, wanachinjiwa kuku, mbuzi, wanakunywa mchuzi, kulamba asali na maziwa lakini kapuku ugali dona bamia imetoka hiyo?
Mimi ushenzi huo sikubali na hawataniona ukweni ili heshima iwepo. Nyumbani nako unaoa lakini mke wako naye anatumikishwa kazi za hovyo hovyo lakini wake za ndugu zako wanaheshimiwa kwa kuwa waume zao wana ajira safi fedha ipo. Mke wangu akishushiwa heshima nitakuwa mkali kutaka heshima sawa kwa wake zetu. Huwa sipendi ujinga ukweni na nyumbani, tuheshimiane
hii ni kweli hata kuwasiliana hutakiwi uongee nao mara kwa mara yaan mara moja kwa mweziPesa ni mungu dunia. Sitakuja kwenda ukweni nikalala, never, labda kuwe na mambo ya kifamilia kama msiba au sherehe. Ukienda ukweni hakikisha unaenda na usafiri wako. Kama ni mbali sana safikiri kisha lala hotel au hata guest ya karibu na kwa mkeo. Kesho yake mapema saa 3-4 upo kwao. Kaa nao siku nzima, jioni hata kama ni usiku choma wese kurudi, hata kama utatoka na kutafuta guest ulale ila wao wajue unarudi night kwa night, jifanye una mambo ya kufanya kesho yake. Unajua kukaa na watu kwa muda mrefu wanakuzoea na kukuchukulia poa, usiwape hio nafasi wakwe zako.
Ni mara moja na ni kimachalemachale, usiruhusu wakujue saana, watapat namna ya kukuingiahii ni kweli hata kuwasiliana hutakiwi uongee nao mara kwa mara yaan mara moja kwa mwezi