Wao wameanzisha Uzi wao ukielezea Vituko vya mwananyamala Mwisho wa siku wamemalizia na Dar nzima kwa ujumla.
Na sisi wa mikoani Tulete vituko na matukio yetu ya Huko,
Kama,ubabe ,Wizi,Utapeli,Uchawi na kila tukio linalofanyika mikoani bila kusahau eneo la tukio,
Kuna Vituko na matukio mengi sana huko mikoani na sisi tuelezee hapa kwenye uzi .!