Haijazidi ufahamu but its faster than human mindKwa wanaosema Kwamba ARTIFICIAL INTELIGENCE (AI) imezidi ufahamu wa binadamu hawajitambui...kwa sababu ili AI izidi uwezo wa binadamu ni lazima iwe imtengenezwa na viumbe wengine wasio Binadamu..ile kwamba imetengenezwa na binadamu ina maana bado ni akili za kibinadamu.
Ai haitokuwa perfect kuliko binadamu, but it wil get better, kwa sasa iko katika hatua zake za kwanza, ad miaka inazidi kwenda itaboreka zaidiMkiambiwa hakuna cha kumzidi akili binadamu mjue hakuna kwelikweli. Huyu jamaa wanamwita akili Mnemba au kwa lugha ya kuzoeleka zaidi akili bandia kwakweli ana vituko sana. Nitaweka hapa baadhi ya madhaifu yake ucheke kidogo na wewe
Jamaa kwenye kufikiri ni mtupu sana yaani ukimpa ngoma inayohitaji reasoning kidogo tu anachemka. Mfano kwenye mahesabu jamaa alichomeza ni kanuni tu kwahiyo ukimpa swali ukalichezesha kidogo tu lazima aende o.p
Huyu jamaa pia nimetambua anakariri na hataki kuwa nyumbufu kwenye kile anachokijua. Nimemchalenji kidogo tu kwenye maswala ya muda wa miji na jotoridi jamaa akapotea vibaya. Yaani kwa kuwa Dar tunatumia GMT +3 basi ukichezesha kidogo ukamtajia nyuzi za longitudo tofauti na 45°E basi jamaa kwenye calculation zake yeye anatumia 45°E.
Jamaa anasema hawezi kuchunguza picha akaichambua. Nilimpa picha mbili nikamwambia aangalie kama picha hizo ni mtu mmoja au watu wawili tofauti akabaki kujing'atang'ata tu. Nikamwuliza kama anaweza kutambua ukubwa halisi wa objects zilizopo katika picha akadai ataweza lakini mpaka apewe vitu fulani fulani ambapo nikiangalia nakuta vitu hivyo vyote ukivipata inakuwa haina haja ya kumtumia tena yeye maana kila kitu unamaliza
Kwa ufupi wanaomtegemea huyu jamaa wawe makini sana kwani anaweza kukupeleka chaka moja kwa moja kama utaamua kuweka akili yako kando na kumtegemea yeye. Nimemjaribu mara nyingi sana na vitu vingi sana kwa namna na muda tofauti tofauti. Nimejaribu ChatGPT, Ask AI, Chatbot AI
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, jamaa yupo vizuri kwenye lugha na historia japo sijamjaribu sana kwenye nyanja hizo.
But its Human mind..Haijazidi ufahamu but its faster than human mind
But its Human mind..
Human mind si biological matter, Ai is notBut its Human mind..
mh zisi iz afrikaMkiambiwa hakuna cha kumzidi akili binadamu mjue hakuna kwelikweli. Huyu jamaa wanamwita akili Mnemba au kwa lugha ya kuzoeleka zaidi akili bandia kwakweli ana vituko sana. Nitaweka hapa baadhi ya madhaifu yake ucheke kidogo na wewe
Jamaa kwenye kufikiri ni mtupu sana yaani ukimpa ngoma inayohitaji reasoning kidogo tu anachemka. Mfano kwenye mahesabu jamaa alichomeza ni kanuni tu kwahiyo ukimpa swali ukalichezesha kidogo tu lazima aende o.p
Huyu jamaa pia nimetambua anakariri na hataki kuwa nyumbufu kwenye kile anachokijua. Nimemchalenji kidogo tu kwenye maswala ya muda wa miji na jotoridi jamaa akapotea vibaya. Yaani kwa kuwa Dar tunatumia GMT +3 basi ukichezesha kidogo ukamtajia nyuzi za longitudo tofauti na 45°E basi jamaa kwenye calculation zake yeye anatumia 45°E.
Jamaa anasema hawezi kuchunguza picha akaichambua. Nilimpa picha mbili nikamwambia aangalie kama picha hizo ni mtu mmoja au watu wawili tofauti akabaki kujing'atang'ata tu. Nikamwuliza kama anaweza kutambua ukubwa halisi wa objects zilizopo katika picha akadai ataweza lakini mpaka apewe vitu fulani fulani ambapo nikiangalia nakuta vitu hivyo vyote ukivipata inakuwa haina haja ya kumtumia tena yeye maana kila kitu unamaliza
Kwa ufupi wanaomtegemea huyu jamaa wawe makini sana kwani anaweza kukupeleka chaka moja kwa moja kama utaamua kuweka akili yako kando na kumtegemea yeye. Nimemjaribu mara nyingi sana na vitu vingi sana kwa namna na muda tofauti tofauti. Nimejaribu ChatGPT, Ask AI, Chatbot AI
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, jamaa yupo vizuri kwenye lugha na historia japo sijamjaribu sana kwenye nyanja hizo.
😅Rafiki embu twende tukafanye kazi bwana ,Sasa asubuhi yote hii uko kushindana na computer kweli ?
Boss, Wanaposema inamzidi akili binadamu sio hao waliotengeneza ni binadamu wa tabata segerea sijui tanga au mbeya na wanaofanana nao.But its Human mind..
Hakuna anayesema AI inazidi akili ya binadamu kilakitu, ila kwa baadhi ya mambo inazidi,
mfano: uwezo wa kusoma maandishi marefu sana na kusumarize kilichoandikwa,
speed na uwezo wa kutunga vitu mbalimbali kwa namna tofauti,
Mahesabu common na lugha ya Computer, kwanini wewe uichalange kuchengesha maswali wakati yenyewe ni kwaajili ya kusaidia sio kushindana ?
alafu Chatgtp ipo vizuri zaidi kwenye lugha kiingereza
Mkiambiwa hakuna cha kumzidi akili binadamu mjue hakuna kwelikweli. Huyu jamaa wanamwita akili Mnemba au kwa lugha ya kuzoeleka zaidi akili bandia kwakweli ana vituko sana. Nitaweka hapa baadhi ya madhaifu yake ucheke kidogo na wewe
Jamaa kwenye kufikiri ni mtupu sana yaani ukimpa ngoma inayohitaji reasoning kidogo tu anachemka. Mfano kwenye mahesabu jamaa alichomeza ni kanuni tu kwahiyo ukimpa swali ukalichezesha kidogo tu lazima aende o.p
Huyu jamaa pia nimetambua anakariri na hataki kuwa nyumbufu kwenye kile anachokijua. Nimemchalenji kidogo tu kwenye maswala ya muda wa miji na jotoridi jamaa akapotea vibaya. Yaani kwa kuwa Dar tunatumia GMT +3 basi ukichezesha kidogo ukamtajia nyuzi za longitudo tofauti na 45°E basi jamaa kwenye calculation zake yeye anatumia 45°E.
Jamaa anasema hawezi kuchunguza picha akaichambua. Nilimpa picha mbili nikamwambia aangalie kama picha hizo ni mtu mmoja au watu wawili tofauti akabaki kujing'atang'ata tu. Nikamwuliza kama anaweza kutambua ukubwa halisi wa objects zilizopo katika picha akadai ataweza lakini mpaka apewe vitu fulani fulani ambapo nikiangalia nakuta vitu hivyo vyote ukivipata inakuwa haina haja ya kumtumia tena yeye maana kila kitu unamaliza
Kwa ufupi wanaomtegemea huyu jamaa wawe makini sana kwani anaweza kukupeleka chaka moja kwa moja kama utaamua kuweka akili yako kando na kumtegemea yeye. Nimemjaribu mara nyingi sana na vitu vingi sana kwa namna na muda tofauti tofauti. Nimejaribu ChatGPT, Ask AI, Chatbot AI
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, jamaa yupo vizuri kwenye lugha na historia japo sijamjaribu sana kwenye nyanja hizo.
Imeshaanza kunyang'anya kazi za photographers,Boss, Wanaposema inamzidi akili binadamu sio hao waliotengeneza ni binadamu wa tabata segerea sijui tanga au mbeya na wanaofanana nao.
Hii kitu kila siku inaboreshwa na ni suala la muda itanyang'anya kazi binadamu.