Vituko mitandaoni. Tupia chako

Bado nipo kwa spiritual journey mkuu, nilikutana nayo bahati mbaya tu!!

Kwa kweli ni aibu sana na haya majanga utakutana nayo ukienda lodges/hotels za kijinga tu. Ila hawa wanaonekana kama walidhamiria kurekodi, maana kuna muda unamuona jamaa anaweka simu vizuri kabisa. Maana yake anajua nini kinaendelea na bado kichupa kina leak!! Huu ni ujinga, kwanini kivuje maana ilitakiwa kipigwe kofuli somewhere


Enewei sisapoti mambo ya aibu namna hiyo, muda unaenda kuna wakati utafika utajutia mapuuza mengi uliyofanya huko nyuma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…