Vituko mitandaoni. Tupia chako

Black hole .....labda n uchorocho wa kutoka eneo moja kwenda lingineπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.
Yawezekana aisee.

Black hole mh! Kubwa ya kuweza kumeza Galaxy yetu hii mara 10,000? Sidhani!

Yawezekana lakini. Au kuna kitu hapo ambacho akina Hubble na James Webb bado hawawezi kukiona. Maajabu ya uumbaji!

Na wewe mjukuu ni mdau wa haya mambo eeh!? Safi sana! πŸ‘
 
Nayapenda sanaa niliwai kukutana na photographers wa kichina walikuja kupiga picha huku nikaomba na mm nione angani pazuri sanaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…