Mawardat JF-Expert Member Joined Apr 27, 2021 Posts 25,997 Reaction score 137,035 Nov 9, 2023 #193,461 Grahams said: Niandalie shamba ekari 3, nakuja na mbegu bora za mahindi Click to expand... Hauogopi wachawi na hizo mbegu zako??
Grahams said: Niandalie shamba ekari 3, nakuja na mbegu bora za mahindi Click to expand... Hauogopi wachawi na hizo mbegu zako??
Mawardat JF-Expert Member Joined Apr 27, 2021 Posts 25,997 Reaction score 137,035 Nov 9, 2023 #193,462 Grahams said: Una hoja, ngoja niwaulize Click to expand... Wanazaa kwa mipango, Waachage wajukuu waruke kwanza
Grahams said: Una hoja, ngoja niwaulize Click to expand... Wanazaa kwa mipango, Waachage wajukuu waruke kwanza
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,849 Reaction score 57,525 Nov 9, 2023 #193,463 mawardat said: Hauogopi wachawi na hizo mbegu zako?? Click to expand... Tangu lini Wazee wakawa waoga wa mambo ya Mila. Uchawi ni mila halisi za Kiafrika π€ͺ
mawardat said: Hauogopi wachawi na hizo mbegu zako?? Click to expand... Tangu lini Wazee wakawa waoga wa mambo ya Mila. Uchawi ni mila halisi za Kiafrika π€ͺ
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,849 Reaction score 57,525 Nov 9, 2023 #193,466 mawardat said: Wanazaa kwa mipango, Waachage wajukuu waruke kwanza Click to expand... Niwaache wainjoi kama alivyoimba Jux na Diamond Platinum sio? Kweli Vijana wana faidi π€
mawardat said: Wanazaa kwa mipango, Waachage wajukuu waruke kwanza Click to expand... Niwaache wainjoi kama alivyoimba Jux na Diamond Platinum sio? Kweli Vijana wana faidi π€
Mawardat JF-Expert Member Joined Apr 27, 2021 Posts 25,997 Reaction score 137,035 Nov 9, 2023 #193,467 Grahams said: Tangu lini Wazee wakawa waoga wa mambo ya Mila. Uchawi ni mila halisi za Kiafrika Click to expand... Mweeeeeh,basi mila mbaya hiyo.
Grahams said: Tangu lini Wazee wakawa waoga wa mambo ya Mila. Uchawi ni mila halisi za Kiafrika Click to expand... Mweeeeeh,basi mila mbaya hiyo.
Mawardat JF-Expert Member Joined Apr 27, 2021 Posts 25,997 Reaction score 137,035 Nov 9, 2023 #193,468 Grahams said: Niwaache wainjoi kama alivyoimba Jux na Diamond Platinum sio? Kweli Vijana wana faidi Click to expand... Yaeh Maisha mafupi,vijana wanakufa zaidi kuliko wazee
Grahams said: Niwaache wainjoi kama alivyoimba Jux na Diamond Platinum sio? Kweli Vijana wana faidi Click to expand... Yaeh Maisha mafupi,vijana wanakufa zaidi kuliko wazee
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,849 Reaction score 57,525 Nov 9, 2023 #193,469 mawardat said: Mweeeeeh,basi mila mbaya hiyo. Click to expand... Miaka ile nikiwa Kiongozi mwandamizi na mwenzangu Kinjikitile, tulitumia sana mila kupigana na "Mjarumani" miaka ile ya 1905 hadi 1907. Kwahiyo siogopi sana hayo mambo π€ͺπ
mawardat said: Mweeeeeh,basi mila mbaya hiyo. Click to expand... Miaka ile nikiwa Kiongozi mwandamizi na mwenzangu Kinjikitile, tulitumia sana mila kupigana na "Mjarumani" miaka ile ya 1905 hadi 1907. Kwahiyo siogopi sana hayo mambo π€ͺπ
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,849 Reaction score 57,525 Nov 9, 2023 #193,470 mawardat said: Yaeh Maisha mafupi,vijana wanakufa zaidi kuliko wazee Click to expand... Ni kweli, Mungu aendelee kutupa umri mrefu wa kuishi
mawardat said: Yaeh Maisha mafupi,vijana wanakufa zaidi kuliko wazee Click to expand... Ni kweli, Mungu aendelee kutupa umri mrefu wa kuishi
Mawardat JF-Expert Member Joined Apr 27, 2021 Posts 25,997 Reaction score 137,035 Nov 9, 2023 #193,471 Grahams said: Miaka ile nikiwa Kiongozi mwandamizi na mwenzangu Kinjikitile, tulitumia sana mila kupigana na "Mjarumani" miaka ile ya 1905 hadi 1907. Kwahiyo siogopi sana hayo mambo Click to expand... ,kama nakuona vile umekula chumvi nyingi
Grahams said: Miaka ile nikiwa Kiongozi mwandamizi na mwenzangu Kinjikitile, tulitumia sana mila kupigana na "Mjarumani" miaka ile ya 1905 hadi 1907. Kwahiyo siogopi sana hayo mambo Click to expand... ,kama nakuona vile umekula chumvi nyingi
Mawardat JF-Expert Member Joined Apr 27, 2021 Posts 25,997 Reaction score 137,035 Nov 9, 2023 #193,472 Grahams said: Ni kweli, Mungu aendelee kutupa umri mrefu wa kuishi Click to expand... Kweli kabisa,zama zimebadilika, Sio tena watoto wanazika wazee wao,bali wazee wanazika watoto wao.
Grahams said: Ni kweli, Mungu aendelee kutupa umri mrefu wa kuishi Click to expand... Kweli kabisa,zama zimebadilika, Sio tena watoto wanazika wazee wao,bali wazee wanazika watoto wao.
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,849 Reaction score 57,525 Nov 9, 2023 #193,473 mawardat said: Kweli kabisa,zama zimebadilika, Sio tena watoto wanazika wazee wao,bali wazee wanazika watoto wao. Click to expand... Tuendelee kumuomba Mungu atujalie afya njema na uzima tele Tuishi na Wazee wetu hadi waone Wajukuu na Vitukuu vyao
mawardat said: Kweli kabisa,zama zimebadilika, Sio tena watoto wanazika wazee wao,bali wazee wanazika watoto wao. Click to expand... Tuendelee kumuomba Mungu atujalie afya njema na uzima tele Tuishi na Wazee wetu hadi waone Wajukuu na Vitukuu vyao
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,849 Reaction score 57,525 Nov 9, 2023 #193,474 mawardat said: ,kama nakuona vile umekula chumvi nyingi Click to expand... Hakika Mjukuu, nimekula chumvi nyingi Babu yenu π€ͺ
mawardat said: ,kama nakuona vile umekula chumvi nyingi Click to expand... Hakika Mjukuu, nimekula chumvi nyingi Babu yenu π€ͺ
Mawardat JF-Expert Member Joined Apr 27, 2021 Posts 25,997 Reaction score 137,035 Nov 9, 2023 #193,475 Grahams said: Hakika Mjukuu, nimekula chumvi nyingi Babu yenu Click to expand... Sitaki mie,
Mawardat JF-Expert Member Joined Apr 27, 2021 Posts 25,997 Reaction score 137,035 Nov 9, 2023 #193,476 Grahams said: Tuendelee kumuomba Mungu atujalie afya njema na uzima tele Tuishi na Wazee wetu hadi waone Wajukuu na Vitukuu vyao Click to expand...
Grahams said: Tuendelee kumuomba Mungu atujalie afya njema na uzima tele Tuishi na Wazee wetu hadi waone Wajukuu na Vitukuu vyao Click to expand...
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,849 Reaction score 57,525 Nov 9, 2023 #193,477 mawardat said: Sitaki mie, Click to expand... Good news ni kuwa cheti changu cha kuzaliwa nimeambiwa kitaletwa na Serikali ya Uingereza hivi karibuni Jiandae kuona Umri halisi wa Babu yenu π€ͺ
mawardat said: Sitaki mie, Click to expand... Good news ni kuwa cheti changu cha kuzaliwa nimeambiwa kitaletwa na Serikali ya Uingereza hivi karibuni Jiandae kuona Umri halisi wa Babu yenu π€ͺ
Mawardat JF-Expert Member Joined Apr 27, 2021 Posts 25,997 Reaction score 137,035 Nov 9, 2023 #193,478 Grahams said: Good news ni kuwa cheti changu cha kuzaliwa nimeambiwa kitaletwa na Serikali ya Uingereza hivi karibuni Jiandae kuona Umri halisi wa Babu yenu Click to expand... Haueleweki kama mvua za dar
Grahams said: Good news ni kuwa cheti changu cha kuzaliwa nimeambiwa kitaletwa na Serikali ya Uingereza hivi karibuni Jiandae kuona Umri halisi wa Babu yenu Click to expand... Haueleweki kama mvua za dar
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,849 Reaction score 57,525 Nov 9, 2023 #193,479 mawardat said: Haueleweki kama mvua za dar Click to expand... π π π πππ
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,745 Reaction score 830,860 Nov 9, 2023 Thread starter #193,480 Sent using Jamii Forums mobile app