LISSU: WATANZANIA WATEGEMEE CHAMA KIPYA MBADALA WA CHADEMA
Mtu yeyote anayewashambulia wanaharakati ni sawa na Msaliti, Kama wanaharakati waliibeba na kuipa nguvu CHADEMA na hata kwenda mbali zaidi kujitoa kifedha kipindi ambacho Chama hakikujiweza kwa lolote mtu anapotokea akawashambulia watu hao tumuiteje? Inaweza isiwe sasa sasa ila hivi karibuni tutapata Chama Cha Upinzani chenye kusimamia ukweli na Haki tofauti na hivi vilivyopo.