Kwa kweli kuna mambo yanatia kinyaa, mpaka unajiuliza wanaotunga hiyo miswada ni watanzania kweli?! Wana akili timamu?! Hivi hawa jamaa wanawafikiria kweli watanzania wengine wanaovuja jasho huku barabarani na bado maisha yao hayaeleweki au ndio wanaangalia shibe zao tu!!