Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hivi ni kweli bunge linalowakilisha walala hoi ndio limepitisha hii. Kweli siamini! HII SIO SAWA! HII SIO HAKI! Yaani kodi za walima mihogo zikalipe mafao ya wenzi wa wakubwa?! Hivi matatizo ya Watanzania yameisha kiasi kwamba tuna ziada ya kufuja?! Jamani! Iweni na huruma ninyi kwa ninyi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…