Vituko mitandaoni. Tupia chako

Nabadili kauli. Siyo ufala. Tunakuwa na mategemeo kwamba siku moja huyo bestie atajichanganya na tutamla tu. Ni sawa na ile ya kuwekwa friend zone. Mategemeo ni kwamba siku moja utatolewa huko...na mara nyingi huwa inakuwa hivyo!

The key is patience! 😁😁😁🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…