Huyu jamaa naamini ana hela kuliko hata bakhresa mark my words mkuu yaani ni mwizi lowkey yuko kama Rostam madili ya chini chini tu yaani. Mpaka akimaliza muda wake sijui itakuwa kachota trillion ngapi asee. Paah esther luxury, namungo fc, appartments, mashamba ndo usiseme, zile za mikopo yaani paah.
Acha tu yaani sema muda utaongea ndo maana forbes hawawekagi wanasiasa kwenye list zao.