Vituko mitandaoni. Tupia chako

SHABIKI HUYU AZUIWE KUINGIA UWANJA WA MKAPA

Ameandika Mchambuzi Sanitizer TZ

"Hivi huyu Shabiki asiye kuwa na haya Baba na Mama zake wapo hai ? na je wanamruhusu Nguo za Aina hii ?

Kila mtu ana maisha yake , lakini huyu Shabiki wa Yanga anafanya Taifa lionekane ndivyo lilivyo , ifike mahala Benjamin Mkapa waweke ulinzi kama hujavaa stara usiingie uwanjani , kwa mwenendo huu huyu Shabiki ipo siku atatuvalia chupi

Je ndugu , Wajomba , Shangazi , Mabinamu , Kaka , Dada , Wanamuona anavyo vaa hivi ? mbona ni ulimbukeni na ujinga kuoita kiasi

Mwanamke mwenye akili na anaye jielewa hawezi ku dress hivi front of people more than 30,000 hiyo Confidence unaitoa wapi ?

Ifike Hatua Benjamin Mkapa kuna Tabia mzilinde huo Uwanja siyo Wa Uhuni ni Uwanja wa Michezo , Hizi Tabia za hivi zikomeshwe

Nina Mashaka makubwa sana na ndugu wa Huyu Bint , yaani Mimi Dada Yangu nikuruhusu Uvae hivi mbele ya watu zaidi ya 20,000


Mwambieni atunze Heshima yake bwana , kuna Mashabiki wengi tu wa kike Tunawajua wanavaaga vijunga vyao lakini si vya hovyo kama vyake

Nidhamu iwepo uwanjani si kila mtu akiamua kuvaa atakavyo vaa tu aingie Uwanjani

Credit Sports Halisii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…