Vituko mitandaoni. Tupia chako

MaCCM na unafiki ni damu moja. Protase Cardinal Rugambwa amepokelewa na watawala wakimsujudia wakati alipoketi Kigamboni na maaskofu wenzake wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania na kutoka na TAMKO la kupinga mkataba wa kuuza bandari MaCCM walisema asichanganye dini na siasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Manasiasa yote ni hivyo hivyo tu. Hata ma CHADEMA ni hivyo hivyo tu ๐Ÿšฎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ