Mshana Jr ameanza kuuharibu huu uzi. Ni uzi wake lakini naona anataka kuugeuza kuwa uzi wa uchawi na motivational quotes.
Uzi wake mwingine (siukumbuki vizuri) pia ulikufa mpaka ukafungiwa. Na huu nadhani anataka kuuharibu makusudi.
Tunakuja hapa kurelax na memes na vicheko lakini unakutana na mambo ya uchawi. Mpaka mood inakata!
Mshana Jr tuachie uzi wetu. Kaanzishe uzi kamili wa mambo ya uchawi huko na hizo quotes zako za motivations...