Aibu hii inawahusu wanamuziki wote wa Congo, mashabiki wa muziki wa nchi hiyo na serikali yao ya Congo.
Lokassa ametumia kipaji chake kutangaza nchi yake, maiti yake imetelekezwa mortuary hakuna anayeshtuka na mambo mengi yanaendelea. Aibu, Aibu aibu.
Sidhani kama Tanzania tunaweza kufikia hatua hiyo